Kozi ya Diploma ya IPSAS Machi 2019

Mahali

Arusha, Dar es salaam na Dodoma

Tarehe

2019-03-25 - 2019-08-28

Muda

11:00 jioni - 01:00 usiku

Madhumuni

-

Ujumbe wa Shughuli

Masomo yataanza tarehe 25 Machi 2019

Washiriki

Mwenye cheti cha CPA au CPA mbadala, Mwenye shahada ya juu ya Uhasibu, Fedha, Kodi au masomo yanayohusianaAda za kozi

Gharama za usajili 20,000

Gharama za mafunzo 1,000,000

Gharama za mitihani 480,000

Jumla 1,500,000

Simu

+255 22 2211890-9

Barua pepe

info@nbaa.go.tz