Muundo wa Ada

Muundo wa ada za NBAA ni kama ufuatao:-

Na.

Maelezo Hatua ya mtihani

Ada

1.

Ada za mitihani (Somo moja)

Kitabu hatua ya ATEC = 30,000.

Kitabu hatua ya Kitaaluma = 40,000

NB: Ukirudia somo haulipii kitabu

ATEC I

Kurudia somo

Tshs. 55,000.00

Tshs. 25,000.00

ATEC II

Kurudia somo

Tshs. 60,000.00

Tshs. 30,000.00

Hatua ya awali (Foundation)

Kurudia somo

Tshs. 100,000.00

Tshs. 60,000.00

Hatua ya kati (Intermediate)

Kurudia somo

Tshs. 130,000.00

Tshs. 90,000.00

Hatua ya mwisho (Final)

Kurudia somo

Tshs. 150,000.00

Tshs. 110,000.00

2.

Ada za msamaha

(Somo moja)

ATEC I

ATEC II

Hatua ya awali (Foundation)

Tshs. 15,000.00

Tshs. 20,000.00

Tshs. 30,000.00


3.

Ada ya usajili katika kila hatua ya mtihani

ATEC I

Ada ya Fomu -Tshs. 20,000.00

Ada ya usajili -Tshs. 25,000.00

Mchango wa mwaka -Tshs. 35,000.00

Jumla -Tshs. 80,000.00

ATEC II

Ada ya fomu -Tshs. 20,000.00

Ada ya usajili -Tshs. 25,000.00

Ada ya msamaha -Tshs. 45,000.00

Mchango wa mwaka-Tshs. 35,000.00

Jumla – Tshs. 125,000.00

Hatua ya awali

(FOUNDATION LEVEL)

Ada ya fomu -Tshs. 20,000.00

Ada ya usajili -Tshs. 50,000.00

Ada ya msamaha. – Tshs. 105,000.00

Mchango wa mwaka - Tshs. 70,000.00

Jumla –Tshs. 245,000.00

Hatua ya kati

(INTERMEDIATE LEVEL)

Ada ya fomu -Tshs. 20,000.00

Ada ya usajili - Tshs. 50,000.00

Ada ya msamaha -Tshs. 205,000.00

Mchango wa mwaka -Tshs. 70,000.00

Jumla-Tshs.345,000.00

4.

Michango ya mwaka

ATEC

Taaluma (Professional)

Tshs. 35,000.00

Tshs.70,000.00

5.

Uandaaji wa nakala ya matokeo (Transcript) kwa kila hatua ya mtihani

ATEC

Taaluma (Professional)

Tshs. 35,000.00

Tshs. 40,000.00

6.

Uandaaji wa barua ya utambuzi (letter of Recommendation kwa kila hatua ya mtihani

ATEC

Taaluma (Professional)

Tshs.10,000.00

7.

Kutengeneza kitambulisho kilichopotea/kilichoisha muda wake

ATEC

Taaluma (Professional)

Tshs. 20,000.00

8.

Uhakiki wa cheti

ATEC

Taaluma (Professional)

Tshs. 20,000.00

9.

Barua ya matokeo

ATEC

Taaluma (Professional)

Tshs. 15,000.00

10

Kukata rufaa (kwa somo)

ATEC

Taaluma (Professional)

Tshs.160,000.00

11

Ada ya utafutaji/uchunguzi

ATEC

Taaluma (Professional)

Tshs.25,000.00

12

Jalada la cheti

Wahitimu wote

Tshs. 20,000.00

13

Uchelewaji wa kuchukua cheti

Hatua zote

Tshs. 20,000.00@ ikizidi miezi sita baada ya mahafali

14

Mitihani ya Muhula wa kati

A5 Business Law

B4 Public Finance & Taxation I

C4 Public Finance & Taxation II

Tshs. 450,000.00

Tshs. 500,000.00

Tshs. 550,000.00

15.

Raia wa kigeni


Atatozwa mara mbili ya ada ya raia wa Tanzania kasoro kwa mitihani ya muhula wa kati na itakuwa kwenye fedha za kideni (Dola ya Marekani)

16.

Faini

Faini kwa kutokuleta maombi mapema:

Faini itatozwa kwa maombi yatakayocheleweshwa kwa kipindi cha mtihani uliokusudiwa kama ifuatavyo:

MFUMO WA MALIPO

MITIHANI YA MEI

MITIHANI YA NOVEMBA

Malipo ya faini ya 50%

16 Februari- 28 Februari

16 Agosti-31 Agosti

Malipo ya faini ya 100%

1 Machi – 15 Machi

1 Septemba-15 Septemba