Matokeo ya Mitihani – Novemba 2020

Imewekwa: Dec 23, 2020


Bodi ya Wakurugenzi ya NBAA katika mkutano wake uliofanyika siku ya Jumatano, tarehe 23, Desemba, 2020 chini ya Mwenyekiti wake CPA Prof. Isaya J. Jairo , ilithibitisha matokeo ya mitihani ya NBAA ya muhula wa 92 iliyofanyika Novemba, 2020.

Orodha ya matokeo