Matokeo ya Mitihani – Novemba 2020

Matokeo ya mtihani wa NBAA wa Novemba 2020

Bodi ya Wakurugenzi ya NBAA katika mkutano wake uliofanyika siku ya Jumatano, tarehe 23, Novemba, 2020 chini ya Mwenyekiti wake CPA Prof. Isaya J. Jairo , ilithibitisha matokeo ya mitihani ya NBAA ya muhula wa 92 iliyofanyika Novemba, 2020.

Orodha ya matokeo