Orodha ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu

Kwa mujibu wa masharti ya Kifungu cha 8 (2) cha sheria ya uhasibu na wakaguzi (usajili) [ Sura ya 286 R.E 2002], Mkurugenzi mtendaji wa NBAA anatakiwa kuchapisha orodha ya wahasibu waliosajiliwa; Uchapishaji utakaofanywa chini ya sharti hili ni uthibitisho kuwa watu waliotajwa humo wamesajiliwa chini ya sheria hii.

Kwa hiyo ni kosa chini ya kifungu cha 29 kuajiri mtu yoyote ambaye hakusajiliwa na Bodi.

Umma kwa jumla pamoja na kampuni wanatakiwa kuthibitisha wahasibu kutoka NBAA kabla ya kuwaajiri ili wasikiuke masharti ya sheria.

Bofya HAPA kupata orodha ya wahasibu waliosajiliwa na NBAA kama iliyokuwa 1 Julai, 2019