Kampuni za Ukaguzi Zilizosajiliwa

Kwa mujibu wa masharti ya Kifungu cha 8 (2) cha sheria ya uhasibu na wakaguzi (usajili) [ Sura ya 286 R.E 2002], Mkurugenzi mtendaji wa NBAA anatakiwa kuchapisha orodha ya wahasibu waliosajiliwa; Uchapishaji utakaofanywa chini ya sharti hili ni uthibitisho kuwa watu waliotajwa humo wamesajiliwa chini ya sheria hii.

Kwa hiyo ni kosa chini ya kifungu cha 29 kuajiri mtu yoyote au kampuni ambayo haijasajiliwa na Bodi.

Umma kwa jumla pamoja na kampuni wanatakiwa kuthibitisha wahasibu na kampuni za ukaguzi kutoka NBAA kabla ya kuwaajiri ili wasikiuke masharti ya sheria.

Bofya HAPA kupata orodha ya kampuni za ukaguzi zilizosajiliwa na NBAA kama ilivyokuwa 1 Mei, 2019