Taratibu za mtihani

Taratibu za mtihani

Jinsi ya kuombakujiunga na mtihani

Taratibuza kuombakufanya mitihani ni rahisi sana, unachohitaji, kufanya ni kufuata maelekezo.

  1. Pakua na jazaexamination entry form.
  2. Lipiaada ya mitihani inayotakiwana ambatanisha stakabadhi ya kulipabenki, iwapo mtahiniwa hajalipa ada ya mchango wa mwaka ni lazimauwasilishe pamojana ada yakujiunga na mtihani kabla ya tareheya mwisho , vinginevyo ada ya adhabu itatolewa.
  3. Wasilisha fomu NBAA kwa anwani ya posta au kwa mkono.

Maandalizi ya kujisomea

Bodi inasajili na kufuatilia atasisi za kuendesha masomo yamafunzo yamapitio kwa watahiniwa wanaojiandaa kwa mitihani ya Bodi . Tasisihizi zinajulikana kuwa waendeshamafunzo.

Watahiniwa wanatakiwa kuhudhuriamasomo ya mafunzo ya mapitio kwa waendesha mafunzo waliosajiliwaili wajiandaevya kutosha kwa mitihani ya bodi. Watahiniwawanashauriwa kuhudhuria mafunzo kwa miezi sita ya mafunzo ya mapitio kabla ya kufanya mitihani ya bodi.

Barua ya udahiliwa mitihani

Bodi inatoa barua ya udahili wa mitihani ( idhini ya kufanya mitihani) kwawatahiniwawaliofanikiwa kuruhusiwa kufanya mitihani katika muhula Fulani kabla ya kuanzakwa mitihani. Kwa watahiniwa wanaoishi Dar es Salaam na Dodoma waende kuchukua idhini zao mtihani wao wenyewe katika idara ya Elimu na Huduma za Mafunzo Dar es Salaam na Dodoma mtawalia. Kwa watahiniwa waliochagua vituo vya mitihani nje ya Dar es salaam , idhini zao za mitihani watatumiwa kwenye auani zao za posta.

Uahirishaji mtihani

katika kuahirishamtihani mtahiniwa anatakiwa kufuata taratibu za uahirishwaji zilizoelezwa.