Habari

Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) ikikabidhiwa Tuzo ya Mlipakodi Bora

Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) ikikabidhiwa Tuzo ya Mlipakodi Bora wa Mwaka 2023/2024 Mkoa wa Dodoma kwenye hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa PSSSF Makole, Jijini Dodoma tarehe 14 February 2025. Ndugu Bakari Mwamende (UTAWALA) akipokea tuzo hiyo kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji.... Soma zaidi

Imewekwa: Feb 17, 2025

45th NBAA Graduation, 30th September 2023.

45th NBAA Graduation, 30th September 2023.... Soma zaidi

Imewekwa: Sep 30, 2023

NBAA yatoa elimu ya jinsi ya kujiandaa na kufanya mitihani ya Bodi

Mkurugenzi Mtendaji wa NBAA CPA Pius Maneno (katikati, waliokaa) akiwa pamoja na baadhi ya wakufunzi na maofisa wa NBAA wakati wa kufunga warsha ya wanafunzi na wakufunzi wa mitihani ya NBAA iliyofanyika kwa njia ya mtandao tarehe 29 na 30 Agosti 2023.... Soma zaidi

Imewekwa: Aug 30, 2023

Maonesho Sabasaba 2023

Baadhi ya wadau wa NBAA wakipata maelezo kuhusu NBAA katika maonesho ya 47 ya Sabasaba 2023... Soma zaidi

Imewekwa: Jul 20, 2023

Maonesho Sabasaba 2023

Baadhi ya wadau wa NBAA wakipata maelezo kuhusu NBAA katika maonesho ya 47 ya Sabasaba 2023... Soma zaidi

Imewekwa: Jul 20, 2023

Maonesho Sabasaba 2023

Baadhi ya wadau wa NBAA wakipata maelezo kuhusu NBAA katika maonesho ya 47 ya Sabasaba 2023... Soma zaidi

Imewekwa: Jul 14, 2023