Taarifa mpya za kiufundi

Bodi hutayarisha taarifa mpya za kiufundi kila robo mwaka na kuzitoa kupitia tovuti hii kwa madhumuni ya kuwaarifu Wanachama na wadau wengine kuhusu masuala yanayojitokeza katika eneo la taaluma ya uhasibu, hasa, kuhusu:-

1.Viwango vya Utoaji Taarifa za fedha vya Tanzania (TFRS)
2.Viwango vya Utoaji taarifa za fedha vya Kimataifa (IFRS)
3.Viwango vya utunzaji Hesabu za sekta ya Umma vya Kimataifa (IPSASs)
4.Viwango vya Kimataifa kuhusu Ukaguzi wa Hesabu (ISAs)
5.Utoaji wa Taarifa Jumuishi wa Kimataifa (IIR)
6.Shirika la Kimatifa la Taasisi za Ukaguzi wa Hesabu zenye mamlaka ya juu (INTOSAI) na
7.Maeneo mengine yanayohusiana na taaluma ya uhasibu.

Tafadhali pakua hapo chini taarifa hizo:-

Mwaka 2024

MWAKA 2023

MWAKA 2022

MWAKA 2021


MWAKA 2020

MWAKA 2018/2019