Habari
Imewekwa: Feb, 17 2025
Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) ikikabidhiwa Tuzo ya Mlipakodi Bora

Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) ikikabidhiwa Tuzo ya Mlipakodi Bora wa Mwaka 2023/2024 Mkoa wa Dodoma kwenye hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa PSSSF Makole, Jijini Dodoma tarehe 14 February 2025.
Ndugu Bakari Mwamende (UTAWALA) akipokea tuzo hiyo kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji.