Mhasibu Mhitimu (GA)

Kundi hili anapewa mtu alite maliza mtuhani wa NBAA ngazi ya kitaalamu na wanatakiwakupata uzoefu wa kazi wa miaka mitatu kabla ya kuomba kuhamishiwa kwenye mwanachama mshiriki.

Wanatakiwa kuhakikisha kuwa wanadumisha hadhi ya mwanachama hai kwenye Bodi kwa kulipa ada ya michango wao na kutimiza saa 30 za CPD kwa mwaka.