Masharti ya kujiunga

Masharti ya kujiunga

(a) ACCOUNTING TECHNICIAN

(i) Mitihani ya Accounting Technician Level 1

Mtahiniwa mtarajiwa anayetaka kujisajili kwa ajili ya mitihani ya accounting technician Level 1 ni lazima aoneshe uthibitisho wa kuwa na mojawapo ya sifa zifuatazo:

1. Cheti cha mtihani wa elimu ya Sekondari (CSEE) chenye angalau ufaulu wa crediti tatu na kufaulu Hisabati na Lugha ya Kiingereza

AU
2. Mitihani ya Taifa ya Biashara NABE stage I & II na angalau ufaulu wa masomo manne na cheti cha elimu ya Sekondari

AU
3. Advanced Certificate of Secondary Education Examination (ACSEE) yenye angalau ufaulu wa primary katika somo moja na subsidiary katika masomo yanayohusika, lakini ni lazima awe na ufaulu angalau wa Kiingereza na Hisabati katika elimu ya Sekondari,

AU
4. Cheti cha mwaka mmoja kutoka taasisi inayotambulika na ufaulu wa Kiingereza na hisabati “O” level kabla ya kupata cheti hicho.

5. Na vyeti vingine kama vitakavyotambuliwa na Bodi kila baada ya muda

ii) Mitihani ya Accounting Technician II

Mtahiniwa mtarajiwa anayetaka kujisajili kwa ajili ya mitihani ya Accounting Techinician II ni lazima aoneshe, uthibitisho wa kuwa na mojawapo ya sifa zifuatazo:

  1. Barua ya Taarifa ya kufaulu Acconting Techinician Level I
  2. Advanced Level Secondary School Certificate kwa wanafunzi waliofanya masomo ya biashara. Lakini ni lazima wawe na ufaulu wa principal mbili
  3. Cheti cha Accounting (NTA Level 4)
  4. Diploma ya miaka miwili isiyo na somo kuu la Accounting – NTA Level 6
  5. Wenye advance Level Secondary Education Certificate waliofanya masomo ya biashara na kupata ufaulu katika (Bookeeping na Commerce)

b) PROFESSIONAL EXAMINATIONS

Mtahiniwa mtarajiwa anayetaka kujisajili kwa ajili ya mitihani ya PROFESSIONAL ni lazima aoneshe uthibitisho wa kuwa na mojawapo ya sifa zifuatazo:

(I) Foundation Level – Knowledge and Skills Level

  1. NBAA Accounting Technician Certificate (ATEC) II
  2. Diploma ya miaka miwili katika Accounting au Accounting and Finance NTA Level 6
  3. Shahada kutoka chuo kikuu kinachotambulika au Taasisi ya Elimu ya juu (isiyokuwa ya Accounting).

Misamaha inaweza kufikiriwa somo kwa somo kutegemea masomo ya mtahiniwa.

(II) Intermediate Level – skills and Analysis

  1. Mwenye barua ya Taarifa ya ufaulu ya NBAA Foundation Level
  2. Shahada ya somo kuu la Accounting au Accounting and Finance kutoka Chuo Kikuu kunachotambuliwa au Taasisi ya Elimu ya juu.

(III) Final – Level – Analysis, Application na Evaluation

1.Mwenye Taarifa ya ufaulu ya NBAA Intermediate Level

Kozi zinazotambuliwa na Bodi:

  1. Bachelor of Commerce (Accounting) - University of Dar es Salaam
  2. Advanced Diploma in Certified Accountancy (ADCA); Bachelor of Accounting and Finance (BAF); Bachelor of Public Sector Accounting & Investigations (B.PSAI) – Mzumbe University
  3. Advanced Diploma in Accountancy (ADA); Bachelor of Accounting (BAC) -Institute of Finance Management
  4. Advanced Diploma in Accountancy (ADA); Bachelor of Business Administration (BBA-Accounting)- St. Augustine University of Tanzania.
  5. Advanced Diploma in Cooperative Accounting (ADCA); Bachelor of Arts, Accounting & Finance (BA-AF); Bachelor of Arts, Cooperative Management & Accounting (BA-CMA) – Moshi Cooperative University.
  6. Advanced Diploma in Accountancy (ADA) and Bachelor in Accounting (BA)-Institute of Accountancy Arusha.
  7. Advanced Diploma in Accountancy (ADA); Advanced Diploma in Government Accounting (ADGA); Bachelor Degree in Accounting (BAC) and Bachelor in Public Sector Accounting (BPSA) -Tanzania Institute of Accountancy.
  8. Advanced Diploma in Accountancy (ADA) and Bachelor in Accountancy (BACC)- College of Business Education.
  9. Advanced Diploma in Financial Administration (ADFA) – Zanzibar Institute of Finance Administration.
  10. Bachelor of Commerce (Accounting) and Bachelor of Business Administration (Accounting) – Open University of Tanzania.
  11. Bachelor of Business Administration (Accounting) - Zanzibar University.
  12. Bachelor of Business Administration (BBA Accounting) – Tumaini University Dar es Salaam College.
  13. Bachelor of Business Administration (BBA Accounting); Bachelor of Science in Accounting and Finance (BSc.-AF)- Tumaini University Iringa College.
  14. Advanced Diploma in Accountancy (ADA) and Bachelor of Accountancy (BACC) - Stephano Moshi Memorial University College.
  15. Bachelor of Business Administration (BBA Accounting) - University of Arusha.
  16. Bachelor of Business Administration (BBA Accounting) - Mount Meru University.
  17. Bachelor of Accounting and Finance (BAF) or Bachelor of Business Administration - St. Johns University of Tanzania.
  18. Bachelor of Commerce (Accounting) - University of Dodoma
  19. Bachelor of Accounting (BACC)-Teofilo Kisanji University
  20. Bachelor of Science in Accounting and Finance - Ardhi University
  21. Bachelor of Business Administration (BBA) - Ruaha University College