Taarifa ya mwaka ya CPD

Wanachama wote wa NBAA wanatakiwa kuwasilisha taarifa ya CPD ya mwaka (Januari hadi Desemba)

Bofya hapa kupata fomu

ZINGATIA: Kwasasa taarifa zote za CPD zinapatikana kupitia mfumo wa usajili wa wanachama na wanafunzi (MEMS)