Kalenda ya CPD
Lengo la CPD ni kuwasaidia Wahasibu kuendeleza uwezo wa kitaaluma ili kuboresha utoaji wa huduma bora kwa manufaa ya jamii.
Ili kukidhi changamoto za kiuchumi zinazoiikabili dunia, NBAA inahakikisha wanachama wake wanaendeleza weledi wao kupitia programu ya CPD
Bofya hapa kuangalia kalenda ya CPD kwa mwaka 2024 - Imeboreshwa