Mwongozo wa CPD
Mwongozo wa CPD unatoa mafunzo elekezi kwa wanachama kuhusu jinsi ya kuendeleza ujuzi na ufahamu ili kuhakikisha wanafanyakazi kwa ufanisi kama wataalamu. NBAA inatarajia wanachama wote watashiriki kwenye program za CPD ili kutimiza masharti ya taaluma.
Hivyo basi, ni lazima kwa wanachama wote wa NBAA wazingatie dhana ya kujifunza na kufuata mwongozo wa CPD.