Muundo wa Mitihani
Muundo wa Mtihani Kuanzia Novemba 2024 – Novemba 2029
Mpango wa mtihani wa Watunza vitabu vya Fedha (Accounting Technician)
Muundo huu wa mpango wa mtihani wa Accounting Techinician una ngazi mbili, ATEC I na ATEC II.
ATEC I ina masomo manne na ATEC II nayo ina masomo manne.
Masomo yanayotahiniwa katika mitihani hii ni :
Namba ya mtihani | Jina la Somo |
T01 | Book Keeping and Accounts |
T02 | Elements of Business Mathematics and Statistics |
T03 | Introduction to Information and Communication Technology |
T04 | Business Communication Skills |
Namba ya mtihani | Jina la Somo |
T05 | Principles of Accounting and Auditing |
T06 | Principles of Cost Accounting and Procurement |
T07 | Elements of Commercial Knowledge and Taxation |
T08 | Accounting for Public Sector and Cooperatives |
Mtahiniwa anapokamilisha hatua ya Accounting Technician Level II kwa kufaulu, atapewa cheti cha kumaliza mitihani ya Accounting Technician na atastahili kusajiliwa kama Accounting Technician.
Mpango wa mtihani wa Kitaaluma (Professional)
Muundo wa mtihani kwa mpango wa mtihani wa Kitaaluma una hatua tatu; hatua ya wali (foundation), hatua ya kati (intermediate) na hatua ya mwisho (Final) – (Knowledge and skills ) (Pakua fomu hapa)
Namba ya mtihani | Jina la Somo |
A1 | Quantitative Techniques |
A2 | Business and Management |
A3 | Financial Accounting |
A4 | Cost Accounting |
A5 | Business Law |
A6 | Business Economics |
Namba ya mtihani | Jina la Somo |
B1 | Financial Management |
B2 | Financial Reporting |
B3 | Auditing Principles and Practice |
B4 | Public Finance and Taxation |
B5 | Performance Management |
B6 | Management, Governance and Ethics |
Namba ya mtihani | Jina la Somo |
C1 | Corporate Reporting |
C2 | Auditing and Assurance Services |
C3 | Business and Corporate Finance |
C4 | Advanced Taxation |
Mtahiniwa atakapomaliza hatua ya mwisho kwa kufaulu, atapewa cheti cha kumaliza mitihani ya Certified Public Account – CPA (T) na atastahili kuitwa Mhasibu aliyehitimu.