Februari 2024
Bodi ya Wakurugenzi ya NBAA katika mkutano wake uliofanyika siku ya Jumatano, tarehe 27, Machi, 2024 chini ya Mwenyekiti wake Prof. Sylvia S. Temu, ilithibitisha matokeo ya mitihani ya Muhula wa kati ya NBAA ya 17 na Mitihani ya Diploma ya IPSAS ya 15 iliyofanyika Februari 2024.
Orodha ya matokeo