Dira na Dhamira

Dhamira:

Kulinda maslahi ya umma na kuweka maadili kwa wadau kwa kusajili wanachama, kuweka viwango, kuendeleza na kusimamia taaluma ya uhasibu.

Dira:

Kuwa chombo cha usimamizi uanachama wa uhasibu cha kiwango cha dunia

Misingi mikuu:

NBAA ina misingi mikuu mitano ya shirika ambayo ni mahususi inayohusiana na shughuli kuu za Bodi inayoweza kukumbukwa kupitia knonia ya PITIA. Misingi hii mikuu iliyotajwa hapo chini inataja namna wafanyakazi wa bodi wanavyotarajiwa kujiheshimu wakati wanawahudumia wanachama na wadau wengine wa taaluma ya uhasibu nchini Tanzania

  • Utamaduni
  • Uadilifu
  • Kazi ya pamoja
  • Ubunifu
  • Uwajibikaji