Habari

Imewekwa: Aug, 30 2023

NBAA yatoa elimu ya jinsi ya kujiandaa na kufanya mitihani ya Bodi

News Images

Mkurugenzi Mtendaji wa NBAA CPA Pius Maneno (katikati, waliokaa) akiwa pamoja na baadhi ya wakufunzi na maofisa wa NBAA wakati wa kufunga warsha ya wanafunzi na wakufunzi wa mitihani ya NBAA iliyofanyika kwa njia ya mtandao tarehe 29 na 30 Agosti 2023.