Wahitimu Wapya

JE, MHASIBU MHITIMU NI NANI?

Mhasibu Mhitimu ni mtu aliyemaliza mitihani ya NBAA ngazi ya taaluma . Watu hao wanatakiwa wawe na uzoefu wa kazi wa miaka mitatu kabla ya kuomba kuhamishwa kuwa Mwanachama Mshiriki.

Kusimamia uanachama wako

  • Kama mwanachama wa NBAA unahitaji kuhakikisha kuwa kila kitu kinaendelea vizurikwa daima kukumbuka kuhuisha taarifa zako za mawasiliano. Unaweza kusimamia uanachama wako kwa kuhuishabarua pepe, majukumu ya kazi, anuani za shirika au nyumbani.

Kutoa taarifa endelevu ya maendeleo ya kitaalamu (CPD)

  • Wanachama wote wa NBAA wanatakiwa kuwasilisha Taarifa endelevu ya maendeleo ya kitaalamu ya kila mwaka . CPD.kukusaidia kuendelea kudumisha, kuendelea na kuimarisha stadi na maarifa yako ya kitaalamu na binafsi katika maisha yako ya maisha kama Mwanachama NBAA wanachama wanatakiwa kuendelea kuwa weledi na kuendeleza stadi mpya wawe wenye ufanisi kwenye kazi zao na ajira.

Kila mhasibu mhitimu atahudhuria si chini ya saa 30 za CPD kwa mwaka

Michango na malipo

  • Sheriaya wahasibu na wakaguzi (usajili) sura 286 sura (R.E.2002) inawataka wale wote wenyesifa za uhasibuwalisajili kwenye bodi kabla ya kuajiriwa kamani mtaalamu wa uhasibu. Mara mtu anaposajiliwakwenyeTaasisi ni lazima waweke uanachama wao hai kwakulipamchango wa mwaka unaoidhinishwa na Bodi ya Utawala ya NBAA kila tarehe 1 Julai ya mwaka , Michango ya mwaka ni mpaka 31 Juni kila mwaka.
  • Waajiri na wadau wengine wanahimizwa kuhakiki wanachama wa kila mmoja anayesema kuwa ni mwanachama wa NBAA kwenye tovuti. Kila mmoja anayedai kuwa ni mhasibu lakini hayumo kwenye orodha hii, wako hatarini kutolewa. Kwa hali hiyo, mwajiriwa na mwajiri wanastahili kushtakiwa kwa mujibu wa kifungu cha 18 cha sheria ya wahasibu ya 2008.

KUELEKEA KUINGIA KUNDI LA MWANACHAMAMSHIRIKI ( GA KWENDA ACPA)

Zifuatazoni mfululizo wa shughuli zinazotakiwa kukamilika kabla yakuingia kwenye kundi la mwanachama wa ACPA.

  • Uchaguzi wa mshauri
  • Baada ya kumaliza CPA, MhasibuMhitimu atatakiwa kujaza Fomu ya mshauri iliyopo kwenye tovuti.
  • Mshaurina mwelekezi mwenye uzoefu na anayeaminiwa, huyu ni mhasibu mtaalamu aliyesajiliwa katika Kundi la ACPA au FCPA. kwa wahitimu wanaotakakupanda hadhi kuwa ACPA PP, wanatakiwa wapate washauri kwenye kundi la ACPA PP au FCPA PP na kufanyakazi na kampuni za ukaguzi za nje zilisajiliwa na bodi.
  • Kujaza vitabu vya matukio vya NBAA.
  • Mshauri atakuwa na wajibu wa kusimamia anayeshauriwa kwenye uzoefu kwa vitendo wa kila siku, kupitia shajara ya vitendo ya mshauriwa, na halafu wajaze vitabu vya matukio vya mshauriwa baada ya kila mwaka ya kupata uzoefu wa kazi inayohusika. . Mwajiri pia atajaza sehemu ya pili yakitabu cha matukio na halafu mshauriwaatawasilisha kitabucha matukio kwa Bodi.
  • Maombiya usajili wa accountant/ CPA –PP
  • Baada ya kufanikiwa kukamilishavitabu vitatu vya matukio, Mhasibu Mhitimu atajaza fomu ya maombizilizopo kwenyetovutiambayo baadaye itapitiwa na Bodi.

Mambo yatakayoambatana na fomu ya maombi ni pamojana :

  • Nakalaza vyeti vinavyohusika vilivyotolewa na Bodi.
  • Wajina na anwani za waajiri.
  • Wahasibu wawili wataalamu (wakaguzi kwa ajili ya kusajiliwa na Bodi (ACPAau FCPA ) kuwa kama wadhamini,
  • Pichambili za hivikaribuniza paspotiza mwombaji.
  • Uthibitisho wa malopo ya ada ya maombiiliyo elezwa naisiyorudishwa,

KUELEKEA KUINGIAKUNDI LA MWANACHAMA MWANAZUONI

  • Mtu atastahilikupandishwahadhi ya usajilikama Mhasibumwanazuoni iwapo atairidhisha Bodi kuwa amekuwa Associate Certified Public AccountantauAssociateCertified Public Accountant katika PublicPracticemwenye rekodi yuzoefu wa utendaji kazi wa miaka saba kabla ya maombi yake kama Fellow Certified Public Accountant au Fellow CertifiedPublic Accountant katika PublicPraticena ametoa mchango mkubwa kwa maendeleo ya utaalamu huo. Baadhi ya michango hii ni lazimaijumuishe yafuatayo:
  • Kuwashauri angalau wahasibu wahitimu 20 katika kipindi cha miaka saba:
  • Utayarishajina uwasilishaji wa angalau makala tano kuhusiana na taaluma ya uhasibu, utunzaji hesabu na
  • MKutanowa ukaguziaukuchapishaangalau makala tatuj kwenye Jarida la uhasibu la NBAA.

UZOEFU WA KUFANYAKAZI, NJE YA TANZANIA

  • Kwa mtu ambaye utendaji wake ulikuwa nje ya Jamhuri ya Muungano, halafu.
  • Ni lazimaawe Fellow Certified Public Accountant au Fellow Certified Accountant katika PublicPracticemwenye utendaji bora kwenye chombo cha taaluma ya uhasibu kinachotambuliwa chenye sifa sawanje ya Tanzania; au
  • Ni lazima awe Associate Accountant mwenye rekodi ya utendaji bora na chombo cha taaluma ya uhasibu kinachotoambuliwa chenye sifa sawa nje ya Tanzania kwa miaka saba kabla ya maombi yake ya uanachama mwanazuoni.

TAARIFA MPYA YAACCOUNTING TECHNICIANS

Accounting Technician ni mtu aliyesajiliwa na Bodi baada ya kutimiza masharti yaliyoelezwa kwenye kundi la usajili wa ACCOUNTING Technicians.

Kila Accounting Technician atahudhuriasaa zisizopungua 20 zakuendeleza taaluma kwa mwaka.

Ni lazima afanye mazoezi kwa vitendo kwa kipindi cha baada ya kuwa na sifa kwenye uwanjaunaohusika kabla ya kutuma maombi kwa bodi.