Vituo vya mtihani na mihula
Vituo vya mtihani
Bodi inaendesha mitihani yake kwenye vituo mbalimbali vya mitihani nchini ikiwemo Arusha, Dar es Salaam, Dodoma, Iringa, Kilimanjaro-Moshi, Mbeya, Morogoro, Tabora, Tanga, Mwanza and Zanzibar.
Mihula ya mtihani
Bodi hufanya mitihani yake mara mbili kwa mwaka kwa miezi ya Mei na Novemba. Pia Bodi hufanya mitihani ya kati ya muhula kwa miezi ya Februari na Agosti kwa mitihani ifuatayo: A5-Business Law, B4-Public Finance and Taxation, C4-Advanced Taxation, B5-Performance Management and C3- Corporate Finance. Mitihani ya kati ya muhula, hufanyika Dar es salaam.
Kwa maelezo zaidi kuhusu Mitihani ya kati ya muhula tafadhali bofya hapa