Matokeo ya Mitihani – Februari 2023

Imewekwa: Mar 30, 2023


Bodi ya Wakurugenzi ya NBAA katika mkutano wake uliofanyika siku ya Alhamisi, tarehe 30, Machi, 2023 chini ya Mwenyekiti wake Prof. Sylvia S. Temu, ilithibitisha matokeo ya mitihani ya Muhula wa kati ya NBAA ya 15 na Mitihani ya Diploma ya IPSAS ya 13 iliyofanyika Februari 2023.

Orodha ya matokeo