Gazeti la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Imewekwa: Nov 19, 2021


Gazeti la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linatolewa kwa idhini ya Serikali na kuandikishwa Posta kama Gazeti.

KUSAJILI WAHASIBU NA WAKAGUZI WA HESABU

Katika kuzingatia kifungu cha 8(1) cha sheria ya usajili wa Wahasibu na wakaguzi wa Hesabu [The Accountants and Auditors (Registration) Act CAP 286 R.E. 2002] inatangaza kuwa wataalamu wafuatao wamesajiliwa kama:


a) Wahasibu Wahitimu (Graduate Accountants GA's)
b) Wahasibu Walioidhinishwa (Associate Certified Public Accountants - ACPA's)
c) Wakaguzi wa Hesabu Waliodhinishwa (Associate Certified Public Accountants in Public Practice - ACPA-PP)
d) Wahasibu wa Muda Waliodhinishwa (Temporary Associate Certified Public Accountants - TACPA's)

Tafadhali bonyeza hapa kusoma Gazeti la Serikali toleo na. 45, mwaka wa 102 kupata taarifa ya kusajili Wahasibu na wakaguzi wa Hesabu