Nifanyaje?
- Je kama mimi nimesoma nje ya nchi na nina Cheti/Diploma ya Uhasibu/Stashahada ya juu katika Uhasibu/Shahada ya Uhasibu, naruhusiwa kujisajili kufanya
- Nataka kujisajili na Bodi na baadaye kufanya mitihani. Je nitapata wapi fomu?
- Je, machapisho ya NBAA na nyenzo za kujifunzia zinapatikana katika mahali gani?
- Je, naweza kuwasilisha fomu yangu ya usajili au fomu ya kuomba kufanya mtihani kwa waendeshaji masomo ya kujiandaa kwa mitihani (Tuition Providers) wa
- Je, kuna upendeleo maalumu kwa waombaji walemavu au wenye mahitaji maalumu?
- Ni kina nani wanaoendesha mafunzo na ni wapi naweza kuchukua mafunzo hayo?
- Tuchukulie kwamba nimejiandikisha kwa mitihani lakini kutokana na sababu zisizozuilika nimeshindwa kufanya mtihani, je naweza kurudishiwa fedha?
- Je, inachukua muda gani kwa mtahiniwa kumaliza CPA (T)?