Habari
Imewekwa: Jul, 08 2020
Mahafali ya 41 ya NBAA
Mgeni Rasmi katika mahafali ya 41 ya NBAA, Naibu Waziri Daktari Ashatu Kijaji, alipotembelea banda la maonesho la NBAA kujionea shughuli mbalimbali zifanyavyo na Bodi wakati ya mahafali hayo ya 41.