Matokeo ya Mitihani – Agosti 2022

Bodi ya Wakurugenzi ya NBAA katika mkutano wake uliofanyika siku ya Ijumaa, tarehe 30, Septemba, 2022 chini ya Mwenyekiti wake Prof. Sylvia S. Temu, ilithibitisha matokeo ya mitihani ya Muhula wa kati ya NBAA ya 14 na Mitihani ya Diploma ya IPSAS ya 12 iliyofanyika Agosti 2022.

Orodha ya matokeo