Matokeo ya Mitihani-Februari 2019

Matokeo ya mitihani ya Muhula wa kati ya NBAA ya Februari 2019

Bodi ya Wakurugenzi ya NBAA katika mkutano wake wa alhamisi tarehe 28 Machi, 2019 chini ya Mwenyekiti wake CPA Prof. Isaya Jairo, ilithibitisha matokeo ya mitihani ya Muhula wa kati ya NBAA ya 8 na Mitihani ya Diploma ya IPSAS ya 6 iliyofanyika Februari 2019.