Matokeo ya Mitihani – Februari 2020
Matokeo ya mitihani ya Muhula wa kati ya NBAA ya Februari 2020
Bodi ya Wakurugenzi ya NBAA katika mkutano wake wa Jumanne tarehe 31 Machi, 2020 chini ya Mwenyekiti wake CPA Prof. Isaya Jairo, ilithibitisha matokeo ya mitihani ya Muhula wa kati ya NBAA ya 10 na Mitihani ya Diploma ya IPSAS ya 8 iliyofanyika Februari 2020.