Matokeo ya Mitihani – Februari 2022

Bodi ya Wakurugenzi ya NBAA katika mkutano wake uliofanyika siku ya Alhamisi, tarehe 31, Machi, 2022 chini ya Mwenyekiti wake Prof. Sylvia S. Temu, ilithibitisha matokeo ya mitihani ya Muhula wa kati ya NBAA ya 13 na Mitihani ya Diploma ya IPSAS ya 11 iliyofanyika Februari 2022.

Orodha ya matokeo