Matokeo ya Mitihani – Mei 2022

Bodi ya Wakurugenzi ya NBAA katika mkutano wake uliofanyika siku ya Jumanne, tarehe 28, Juni, 2022 chini ya Mwenyekiti wake Prof. Sylvia S. Temu, ilithibitisha matokeo ya mitihani ya NBAA ya muhula wa 95 iliyofanyika Mei 2022.

Orodha ya matokeo