Matokeo ya Mitihani – Mei (Agosti) 2020
Matokeo ya mtihani wa NBAA wa Mei 2020
Bodi ya Wakurugenzi ya NBAA katika mkutano wake uliofanyika siku ya Jumatatu, tarehe 5, Oktoba, 2020 chini ya Mwenyekiti wake CPA Prof. Isaya J. Jairo , ilithibitisha matokeo ya mitihani ya NBAA ya muhula wa 91 iliyofanyika Agosti, 2020.
Orodha ya matokeo