Matokeo ya Mitihani – Novemba 2021

Bodi ya Wakurugenzi ya NBAA katika mkutano wake uliofanyika siku ya Alhamisi, tarehe 13, Januari, 2022 chini ya Mwenyekiti wake Prof. Sylvia S. Temu, ilithibitisha matokeo ya mitihani ya NBAA ya muhula wa 94 iliyofanyika Novemba 2021.

Orodha ya matokeo