Mei 2023
Bodi ya Wakurugenzi ya NBAA katika mkutano wake uliofanyika siku ya Jumanne, tarehe 27, Juni, 2023 chini ya Mwenyekiti wake Prof. Sylvia S. Temu, ilithibitisha matokeo ya mitihani ya NBAA ya muhula wa 97 iliyofanyika Mei 2023.
Orodha ya matokeo