Novemba 2022

Bodi ya Wakurugenzi ya NBAA katika mkutano wake uliofanyika siku ya Alhamisi, tarehe 22, Disemba, 2022 chini ya Mwenyekiti wake Prof. Sylvia S. Temu, ilithibitisha matokeo ya mitihani ya NBAA ya muhula wa 96 iliyofanyika Novemba 2022.

Orodha ya matokeo