Matokeo ya Mitihani - Mei 2019
Matokeo ya mtihani wa NBAA wa Mei 2019
Bodi ya Wakurugenzi ya NBAA katika mkutano wake wa Alhamisi 27 Juni, 2019 chini ya Mwenyekiti wake CPA Prof. Isaya Jairo , ilithibitisha matokeo ya mitihaniya NBAA ya muhula wa 89 iliyofanyika Mei, 2019. Kupitia ukurasa wa tovuti hii utaweza kuvinjari General examination Statistics with Results list na orodha ya watahiniwa waliofuzu kwa ajili ya CPA (T) , CPA (T) Equivalent na Accounting Technician Certificate (ATEC). Ripoti za Examiners' na Performance pamoja na Institutional Performance zinaweza kuangaliwa. Wakufunzi wa wanafunzi wanatakiwa kusoma kwa makini mapendekezo ya jopo la watahiniwa, kama ilivyofafanuliwa kwenye mtiririko wa ripoti za matokeo.
Orodha ya matokeo