Matokeo ya Mitihani – Agosti 2021
Imewekwa: Sep 20, 2021
Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha na Mipango kwa kufuata masharti yaliyoko kwenye Kifungu cha 39 (2) (c) cha Sheria ya Tafsiri (kama ilivyorekebishwa) (Sura 1), ameridhia na ameidhinisha matokeo kwa Watahiniwa waliofanya mitihani ya Bodi iliyofanyika kuanzia tarehe 23 hadi tarehe 26 Agosti 2021 kwa Barua yake yenye Kumb. Na. CAJ.55/382/01/06 ya tarehe 17 Septemba 2021.
Orodha ya matokeo:
- Foundation Level Result List
- Intermediate Level Result List
- Final Level Result List
- CPA Pass List
- CPA Equivalent Pass List
- Diploma in IPSAS Pass List
- Diploma in IPSAS Result List