Agosti 2023
Bodi ya Wakurugenzi ya NBAA katika mkutano wake uliofanyika siku ya Ijumaa, tarehe 29, Agosti, 2023 chini ya Mwenyekiti wake Prof. Sylvia S. Temu, ilithibitisha matokeo ya mitihani ya Muhula wa kati ya NBAA ya 16 na Mitihani ya Diploma ya IPSAS ya 14 iliyofanyika Agosti 2023.
Orodha ya matokeo