Matokeo ya Mitihani - Agosti 2019
Matokeo ya mitihani ya Muhula wa kati ya NBAA ya Agosti 2019
Bodi ya Wakurugenzi ya NBAA katika mkutano wake wa Ijumaa tarehe 4 Agosti, 2019 chini ya Mwenyekiti wake CPA Prof. Isaya Jairo, ilithibitisha matokeo ya mitihani ya Muhula wa kati ya NBAA ya 9 na Mitihani ya Diploma ya IPSAS ya 7 iliyofanyika Agosti 2019.