Matokeo ya Mitihani – Februari 2021
Matokeo ya mitihani ya Muhula wa kati ya NBAA ya Februari 2021
Bodi ya Wakurugenzi ya NBAA katika mkutano wake wa Jumanne tarehe 30 Machi, 2021 chini ya Mwenyekiti wake CPA Prof. Isaya Jairo, ilithibitisha matokeo ya mitihani ya Muhula wa kati ya NBAA ya 11 na Mitihani ya Diploma ya IPSAS ya 9 iliyofanyika Februari 2021.