Matokeo ya Mitihani – Mei 2021

Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha na Mipango kwa kufuata masharti yaliyoko kwenye Kifungu cha 39 (2) (c) cha Sheria ya Tafsiri (kama ilivyorekebishwa) (Sura 1), ameridhia na ameidhinisha matokeo kwa watahiniwa waliofanya mitihani ya Bodi iliyofanyika kuanzia tarehe 4 had tarehe 7 Mei 2021 katika Barua yake yenye Kumb. Na. CLA.321/369/02 ya tarehe 15 Julai 2021.

Orodha ya matokeo